Huwezi Amini Watanzania Tuna Maamuzi Magumu Sana...Embu Jisomee Hapa Uone.....


 

1. Huna uhakika wa kula na elfu moja pekee uliyonayo unaamua kuinywa Kiroba - Ni maamuzi magumu.

2. Huna kitanda na unaamua kuoa - Hayo pia ni maamuzi magumu.

3. Huna uwezo wa kumlisha mkeo kazi yako ni kumjaza ujauzito - Ni maamuzi magumu.

4. Shule haina waalimu unampeleka mwanao - Pia ni maamuzi magumu....

5. Daladala imejaa mpaka mlangoni na unaamua kupanda - Ni maamuzi magumu.

6. Unalipwa laki mbili unamhonga binti laki moja - Hayo ni maamuzi magumu.

7. Kama utasoma hapa na kushindwa kuweka maamuzi magumu unayoyajua - Utakuwa unamaamuzi magumu mnoo...!

8. Mdada unaweka brazillian ya laki saba mshahara laki 2- Hayo ni maamuzi magumu
Huwezi Amini Watanzania Tuna Maamuzi Magumu Sana...Embu Jisomee Hapa Uone..... Huwezi Amini Watanzania Tuna Maamuzi Magumu Sana...Embu Jisomee Hapa Uone..... Reviewed by CapchaMuzic on 04:02:00 Rating: 5
Powered by Blogger.