Sentensi 12 za MPOKI kuhusu msiba wa Kapteni John KOMBA.. #RIP John Komba

Leo mpoki amesikika kwenye Leo tena @CloudFM,alianza kuzungumzia namna alivyopokea taarifa za msiba huo.
"Mtu akishatoweka kwenye ulimwengu akifariki dunia inauma kwa sababu mtu unayempoteza leo uwezi kumpata tena..lakini ukimpoteza mbuzi utaenda vingunguti utamnunua na sherehe itaendelea..kitendo cha kuriki mtu yeyote hata kama ajulikani ni pengo kubwa tu"
"Imeniathiri kisanii kwa kuwa nilikuwa na muwezea,kidogo alikuwa hapendi lakini alivyokuja kutulia...watu wakamwambia bwana hawa watoto tu..ukimuiga mtu na mazuri huwezi umuiga kwa mabaya tu...ana mazuri yake ..ikanipa wigo mpana kwenye kazi yangu ya kugeza sauti yake,vitendo.."
"mwisho wa siku kaondoka pengo lake halitazibika.. kama kuna la kufanya kuhusu yeye kwa kumuenzi sitokuwa nyuma,nitafanya ili mradi lisimvunjie heshima Marehemu,familia yake,jamii,viongozi wenzake Bungeni na watu wote ambao kawaacha kwenye jimbo lake sasa hivi wapweke.''
Sentensi 12 za MPOKI kuhusu msiba wa Kapteni John KOMBA.. #RIP John Komba
Reviewed by CapchaMuzic
on
07:31:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
07:31:00
Rating: