Mwigizaji Kajala na Producer P-Funk Majani Warudiana Sasa Mapenzi Upya







Mwigizaji wa Kike Kajala Masanja Mwenye ugomvi na Wema Sepetu baada ya kuchukuliana Mabwana inasemekana kwa sasa ameamua na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Producer P-Funk Majani........Ambae ni Baba wa Mtoto wake anayejulikana kama Paula.....

So cute Jamani ........Tunzeni Mtoto sasa!!



Mwigizaji Kajala na Producer P-Funk Majani Warudiana Sasa Mapenzi Upya Mwigizaji Kajala na Producer P-Funk Majani Warudiana Sasa Mapenzi Upya Reviewed by Unknown on 09:03:00 Rating: 5
Powered by Blogger.