Lulu Michael bado pepo la mahaba na Justine Beiber linamtesa,asema haya tena kwenye kurasa yake ya instagram....

Imekuwa sio siri tena kwa Lulu kuvutiwa kimapenzi na Mwimbaji,wenye asili ya Canada anayefanya kazi zake za ki muziki huko nchini Marekani,suala la lulu kumzimia jamaa huyu ni miaka zaidi ya mitano sasa na ndilo jambo ambalo inaona sio la mzaha hata kidogo mana miaka 5 sasa kauli za lulu zipo palepale akilia na penzi la bieber!!!
Kipindi cha nyuma mnamo mwezi wa nane tarehe 17 mwaka 2011 mtandao wa blog ya zamaradi mketema uliweka habari hii hapa chini




Huku akiandika "Uliamua kuni follow kwa Hiari Yako....vumilia Na Post Zangu Tafadhali" hii inatoka na wadau ambao ni follower wa kurasa yake kuwa wakichana mbaya kila akitupia vitu vya huyu jamaa kiasi cha kupelekea kuwa ambia watakoma naye na kula sana maliamo kama wanaona kichefu chefu na moyo wake ulipo dondokea!! hahahaha kweli hapa SAA MBOVU ISHAPOTEZA MAJIRA.
Lulu Michael bado pepo la mahaba na Justine Beiber linamtesa,asema haya tena kwenye kurasa yake ya instagram....
Reviewed by Unknown
on
09:19:00
Rating:
