Kuanguka kwa ukuta huu wa nyumba Mpya ya Diamond STATE HOUSE wahusishwa na ushirikina.

Baada ya watu wengi kuiona picha hiyo mtandaoni wengi waliihusisha na ushirikina wakiamini kua maadui wa Diamond watakua wamefanya fitna hadi ukuta huo kuanguka. Huku wengine wakisema kua hakuna ushirikina bali ni kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kwa sasa jijini Dar.
Kuanguka kwa ukuta huu wa nyumba Mpya ya Diamond STATE HOUSE wahusishwa na ushirikina.
Reviewed by CapchaMuzic
on
03:00:00
Rating: