Wakati Nyalandu Anakanusha kuhusika na Mimba ya Aunty Ezekiel.Mose Iyobo Nae ana Haya

Baada ya hapo jana Lazaro Nyalandu kupitia Clouds FM kukanusha tuhuma zilizokuwa zimezagaa kwenye magazeti na mitandaomi za kuwa anacheepuka na mwigizaji wa filamu hapa bongo,Aunt Ezeckiel na kusisitiza kuwa yeye sio mhusika wa ujauzito wa muigizaji huyo,nikaamua kupitia kwenye kurasa za mcheza shoo wa Diamond,Moses Iyobo ambae ndio anasemekana kuwa yeye ndio amempa ujauzito mwigizaji huyo
Kwanza nilikuta na andiko la malalamiko kutoka kwa Iyobo,ambae alikuwa ameweka picha yua Aunty na kuandika haya
"Kama kumpenda nampenda sana lakini kinacho nipasua kichwa mie kuni save dalali kwenye cm yake yani sielewe ata kidogo"
Lakini kilichonipa faraja ni picha hiyo hapo juu akiwa na Aunty kitandani na kuandika ule msemo kutoka Yamoto Band ambao unamaanisha mtu akipenda amependaaaa
"Nzi kufa kwenye kidonda sio ufala"
kwa picha na ujumbe huu ni wazi Iyobo ndio baba kijacho kutoka kwa Aunty Ezeckiel
Kwanza nilikuta na andiko la malalamiko kutoka kwa Iyobo,ambae alikuwa ameweka picha yua Aunty na kuandika haya
"Kama kumpenda nampenda sana lakini kinacho nipasua kichwa mie kuni save dalali kwenye cm yake yani sielewe ata kidogo"
Lakini kilichonipa faraja ni picha hiyo hapo juu akiwa na Aunty kitandani na kuandika ule msemo kutoka Yamoto Band ambao unamaanisha mtu akipenda amependaaaa
"Nzi kufa kwenye kidonda sio ufala"
kwa picha na ujumbe huu ni wazi Iyobo ndio baba kijacho kutoka kwa Aunty Ezeckiel
Wakati Nyalandu Anakanusha kuhusika na Mimba ya Aunty Ezekiel.Mose Iyobo Nae ana Haya
Reviewed by CapchaMuzic
on
05:46:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
05:46:00
Rating: