Mke wa pili Sikai wa tatu nitakaa !!!


Admin
Leo nn jambo linanichokoa roho kupita kiasi na limeninyimba usingizi kwa kiasi Flani
Naana mdogo wangi ameolewa nnchi za nje na amebahatika kupata watoto 4 mumewe nimfanya biashara hakuna asichopewa mdogo wangu na mumewe aongezemke wa tatu ili yule wapili aone joto kama analoona yeye, 
kwaupande wangu kama dada nimemfahamisha kua hiyo sio dawa ya kumkomoa mke mwezio bali ningekuwa mimi ningekomaa nae uyo mke mdogo mpaka kikaeleweka.
Jee waungwana nimekosea kumueleza hivyo?manake ananambia wewe unaona rahisi tuu sababu hayajakukuta.Nimeona nije tena hapa kwenye wasomaji wengi yupo mmoja ataweza kunipa jawabu la hekima....kwa kweli inaniuma lakini nataka kumsaidia mdogo wangu

Mke wa pili Sikai wa tatu nitakaa !!! Mke wa pili Sikai wa tatu nitakaa !!! Reviewed by CapchaMuzic on 04:45:00 Rating: 5
Powered by Blogger.