Mh!! Wema Ana Mimba.....? Jionee Picha Hizi Zilizo Zagaa Mtandaoni
Hii ni Picha za mwigizaji Wema Sepetu ambazo zinasambaa kwa kasi huko instagram zikionyesha watu wakiwa wameshika tumbo kwa nyakati tofauti huku wote sura zao zikiwa azionekani,
Moja kati ya akaunti kwenye mtandao huo inaonyeshwa na shabiki mkubwa


wa Wema,inayokwenda kwa jina la WEMADAILY,ilizitupia picha hizi na kuandika maneno 'NITOBOEEE' kuashilia kuwa anataka kusema jambo na kum"tag"Wema
Baada ya muda kidogo akaibuka tena na kutupia picha nyingine nakusema ameambiwa asitoboe.Akaunti hiyondiyo ilikuwa ya kwanza kutoa picha za Wema akiwa na mpenzi wake mpya Ommy Dimpoz
Mh!! Wema Ana Mimba.....? Jionee Picha Hizi Zilizo Zagaa Mtandaoni
Reviewed by CapchaMuzic
on
04:12:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
04:12:00
Rating: