Polisi: Tumezuia maandamano ya CUF kutokana na silaha zilizoibiwa Ikwiriri Rufiji

http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Diwani-Athumani(2).jpgJeshi la Polisi limetoa taarifa kuwa limezuia maandamano ya CUF kwa hofu kuwa silaha 7 zilizoibiwa Ikwiriri huko Rufiji zingeweza kutumika. Hiyo ni heading ya gazeti moja la leo na binafsi sijaelewa hii habari labda nipate habari nzima.
Hata hivyo,naamini huu ni utetezi wa ajabu kabisa wa hili jeshi la kisiasa.

CHANZO:Magazei Star tv
Polisi: Tumezuia maandamano ya CUF kutokana na silaha zilizoibiwa Ikwiriri Rufiji Polisi: Tumezuia maandamano ya CUF kutokana na silaha zilizoibiwa Ikwiriri Rufiji Reviewed by CapchaMuzic on 09:06:00 Rating: 5
Powered by Blogger.