Mwanafunzi wa Kidato cha Pili Ajifungua Ndani ya Daladala Baada ya Kumeza Dawa za Kutoa Mimba
Huyu ndio yule mtoto wa kidato cha pili kajifungua ndani ya daladala kwa Aziz Ally Dar.......anasoma Kesho sec
alijaribu kunywa dawa ya kutoa mimba mambo ndo yakawa hivo....yaani
alivyovaa shungi sidhani kama mzazi wake ataamini....hivi nini kifanyike
ili utapaji mimba kwa wanafunzi upungue/uishe....elimu ya mapenzi
salama ifundishwe shule au wazazi wawe wawazi kwa watoto zao kuwaeleza
njia salama za kufanya mapenzi maana KUMKATAZA haiwezekani maana
inaonekana imeshindikana!
Mwanafunzi wa Kidato cha Pili Ajifungua Ndani ya Daladala Baada ya Kumeza Dawa za Kutoa Mimba
Reviewed by CapchaMuzic
on
03:50:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
03:50:00
Rating:
