Fahamu Kuhusu Shanga Kiunoni Kwa Mwanamke
Shanga Ni Ishara Hasa Kwa Wanawake Wa Pwani Ya Tanzania,wanawake Wengi
Hupenda Kuvaa Shanga Kuashiria Kitu. Mfano Akivaa Nyekundu Anaashiria
Kuwa Yupo Siku Zake Hawezi Kufanya Mapenzi, akivaa Nyeupe Yupo Free
Anaweza Kufanya Mapenzi Na Akivaa Nyeusi Huashiria Yupo Free Lakini
Hawezi Kufanya Mapenzi.
Katika Uvaaji Wa Shanga Kuna Makundi Mawili Kundi La Kwanza Huvaa Shanga
Kwa Ajili Ya Kumvutia Mwanaume Pindi Anapomvulia Nguo Mwanaume, kundi
La Pili Huvaa Shanga Kwasababu Ngozi Zao Zimepoteza Hisia Kwa Ajili Ya
Kushikwa Mara Kwa Mara Na Mikono Ya Kiume. Hivyo Anapovaa Shanga
Zinamsaidia Kuamsha Hisia Pindi Mwanaume Anapozichezea Vilevile Shanga
Huleta Msisimuko Kwa Mwanamke Ambao Humfanya Ajisikie Raha Isiyo Kifani
Ndio Maana Wadada Wengi Hupenda Kuzivaa.
Pia uvaaji wa shanga unaendana na utandikaji wa mashuka,mpenzi wako
akitandika shuka jeupe/jeusi/jekundu huwa ana maana yake hivyo yakupasa
kumuelewa
NB:MADADA WENGI HAWAJUI NAMNA YA KUZIVAA UTAKUTA KAVAA ZOTE TATU HALAFU SIYO WASTAARABU ZINAONEKANA HADHARANI.
Fahamu Kuhusu Shanga Kiunoni Kwa Mwanamke
Reviewed by CapchaMuzic
on
03:49:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
03:49:00
Rating:
