Inasemekana Huyu ndio Mwanamuziki anaemiliki Dem Mkali kulikowote East Africa..... Muone hapa

Mpenzi wa rapa Jay A kutoka Kenya ametingisha mitandao kwa uzuri wake. Jay A ametumia mtandao kumtangaza rasmi mpenzi wake aliyemuweka siri kwa miezi kadha sasa. Dada huyu anaitwa Maryanne Komu na imeripotiwa kuwa Jay A alikuwa naye toka anafanya juhudi za kupenya kwenye game la rapa Kenya.
JAY_A_3 JAY_A_AND_GF jay_a_g JAY_A_GF_2
Inasemekana Huyu ndio Mwanamuziki anaemiliki Dem Mkali kulikowote East Africa..... Muone hapa Inasemekana Huyu ndio Mwanamuziki anaemiliki Dem Mkali kulikowote East Africa..... Muone hapa Reviewed by CapchaMuzic on 06:14:00 Rating: 5
Powered by Blogger.