HIZI NI DALILI 10 ZA MTOTO KAPATIKANA KWA DAWA YANI MIMBA ILITUNGWA KWA MSAADA WA DAWA ZA MGANGA

 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjHNB4ZfgAwOcU7uv33jLMFBWlTK8Ur3zmCNXA5XkOEpX6KhLrAUzD1IZwOYfLV0v8lhNt0yTNmvyJomG0UzZLmB69c8OkZcVopHC3r4iaQAjZtuQcmBDyExYW4fc2dG3JMyuWhXD7JFTO7/s640/283598_246784345441077_801891422_n.jpg
1. Macho yake hayachezi mfano akigeuka huwa anageuka na shingo yote
2. shingo yake huwa inageuka polepole haigeuki kwa haraka.
3. Macho yake huwa yanameza picha/ ukiangalia kwenye kiini cha jicho lake hakionyeshi picha.
4. Safari zake za muhimu (anazozisisitizia) huelekea upande ambao haangaliani na jua.
5. Ana sifa nyingi zilizojificha/ anaweza kuwa na elimu ya juu lakini haionekani.
6. Huwa anafanya jambo zuri lakini hazingatii wakati:- mfano inawezekana wamekuja wageni nyumbani alafu yeye ndio akaanza kufagia muda ule.
7. Yeye ni mtendaji mzuri sana lakini hapendi kukubaliana. Yaani kama ni mtoto unaweza ukamwachia kazi afanye yeye akakataa kwa muda ule lakini jioni ukija utamkuta amefanya vyote.
8. Kwenye mikusanyiko mingi hupenda kuwa wa mwisho kutoka.
9. Ukimwangalia kwenye kipaji cha uso; kama una nguvu za Mungu utamwona kama nyama yake inatetemeka/ inatikisika
10. Huwa hafi. Kwasababu huyu ni jini hivyo hutumika katika mwili kwa muda fulani lakini baada ya muda hupotea tu bila kuonekana.
HIZI NI DALILI 10 ZA MTOTO KAPATIKANA KWA DAWA YANI MIMBA ILITUNGWA KWA MSAADA WA DAWA ZA MGANGA HIZI NI DALILI 10 ZA MTOTO KAPATIKANA KWA DAWA YANI MIMBA ILITUNGWA KWA MSAADA WA DAWA ZA MGANGA Reviewed by CapchaMuzic on 21:48:00 Rating: 5
Powered by Blogger.