WEMA HATARINI KUTOLEWA KIZAZI KISA DIAMOND
Najua
wewe ni mrembo sana, una exposure kubwa na una pesa, sawa wanasema
mwanamke bila mwanaume haiwezekani ila kwa mimi naona inawezekana. Jana
nimekuona sehemu fulani Kinondoni Umelewa sana sana.. Hivi unadhani
pombe ndio suluhisho la matatizo yako? Tena unakunywa mipombe mikali
halafu mwanamke, Hicho kizazi kitapona kweli kwa staili hiyo?Nakupa siri
mdogo wangu wewe una nafasi ya kuwa na mwanaume yeyete duniani, na sio
uchafu wa manzese huu unaokupata paka kila kikwapa cha mwanamke. Kama
ungeweza hebu ondoka Tanzania japo kwa miezi sita nenda kakae nje
WEMA HATARINI KUTOLEWA KIZAZI KISA DIAMOND
Reviewed by CapchaMuzic
on
07:23:00
Rating: