Hivi umeelewa Siri ya utajiriwa Ridhiwan Kikwete

http://www.grkadvocates.org/images/rkikwete.jpgPrince Rizwan Kikwete kamaliza chuo mwaka 2005,hata miaka kumi bado ila kila mtu anamtambua kama bilionea kijana.

Kwa wasiomjua huyu mwana mfalme wakati yupo pale mlimani akisomea sheria hakuwa na uwezo sana sifa zimwendee Benno Malisa ambaye ndie aliyemsaidia sana kimasomo pamoja na mama Asha Rose Migiro yule aliyefukuzwa UN na Ban Ki Moon , alikuwa mwalimu wake na mwangalizi wake sijui niiteje.

Beno Malisa huyu mangi alikuwa amejipenyeza kwenye familia ya mfalme mpaka akawa bosi UVCCM ila wakaja kutibuana na prince mara akaamia kambia ya Lowassa ambako amekufa kisiasa la sivyo angekuwa mkuu wa wilaya hivi tunavyoongea pole zake.

Prince alikwenda kufanya field attachment kwenye kampuni ya IMMA and company advocates ambayo miongoni mwa wanahisa wake ni Masha aliyepata kuwa waziri wa mambo ya ndani na jaji Aloysius Mujulizi ambaye naye kalamba kamgao ka ESCROW.

Miaka yote tunajiuliza huyu dogo huu utajiri kautoa wapi na uzuri huyu prince mara zote amekuwa akikana kuwa sio tajiri sasa nimeamini kwani tajiri tumeshamjua ni yule aliyewatuma watu kwenda stanbic na viroba ,mabox na rumbesa.
Hivi umeelewa Siri ya utajiriwa Ridhiwan Kikwete Hivi umeelewa Siri ya utajiriwa Ridhiwan Kikwete Reviewed by CapchaMuzic on 07:09:00 Rating: 5
Powered by Blogger.