KUFURU..!! TAJIRI AZIKWA NA GARI AINA YA HAMMER KABURINI , JIONEE HAPA

.jpg)
Ama kweli Duniani kuna mambo,
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Filauni, Huko nchini Nigeria Tajiri
mmoja maarufu amezikwa akiwa ndani ya gari lake la kifahari aina ya
Hummer, kama inavyoonekana pichani gari hilo likishuhswa kaburini kama
inavyokuwa kawaida kushusha Jeneza kaburini muda unapowadia.
KUFURU..!! TAJIRI AZIKWA NA GARI AINA YA HAMMER KABURINI , JIONEE HAPA
Reviewed by CapchaMuzic
on
09:28:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
09:28:00
Rating: