Wanaume Tunarogwa Sana na Hawa Wanawake Zetu
Katika
Uchunguzi Wangu nimegundua Wateja wengi wa waganga wa Kienyeji ni
wanawake ,hii inatoka na kuwa ushindani wa namba umekuwa mkubwa sana
matokeo yake wakina dada na wakina mama wamemua kutafuta plan B nayo si
nyingine ni kutuchawia, tunarogwa sana, tunalishwa vitu vya ajabu.
Wateja wakubwa wa waganga ni hawa wanawake unadhani wanafuata nini huko kwa Waganga?
Wanaume Tunarogwa Sana na Hawa Wanawake Zetu
Reviewed by CapchaMuzic
on
00:50:00
Rating: