Unapoufurahia Ujuzi wa Mpenzi Wako, Hujiulizi Kautoa Wapi?
Kwetu
tunaamini mchawi aliyekubuhu, ni yule aliyeuwa watu wengi zaidi. Au
hata ukimuona dereva anakimbiza gari barabarani unaamini ana uzoefu wa
udereva wa mda mrefu na atakuwa ameshawahi kuendesha magari mbali mbali.
Sasa
linapokuja swala la mahusiano, ninaona watu wanalalamika kuhusu ujuzi
wa wenzi wao. Ingekuwa mimi, endapo mwenzi wangu angekuwa na kiwango
kidogo cha ujuzi kwenye maswala ya chumbani, lingekuwa jambo la furaha
na kheri.
Pale unapotaka mpenzi wako awe na
ujuzi wa PhD katika maswala ya chumbani, wewe unataka awe amejifunzia
wapi? Kama unataka mjuzi, nenda kachukue Changu doa ambaye anajua
michezo yote...
Dada zetu waliofunzwa
wakatulia, na kaka zetu au wadogo zetu waliofunzwa wakatulia technically
watakuwa na ujuzi mdogo na over the time katika maisha yao ya mahusiano
(ndoa) wataweza kujifunza na kuimprove.
Ukimpata
yule anayekupeleka puta, inabidi ukae chini na ujiulize atakuwa
amewapitia au amepitiwa na wangapi mpaka akapata utaaalam huo?
NB: Sio wote wenye utaalam wa chumbani wanahistoria ndeefu (mbaya) ya kwenye mahusiano...
Unapoufurahia Ujuzi wa Mpenzi Wako, Hujiulizi Kautoa Wapi?
Reviewed by CapchaMuzic
on
01:54:00
Rating: