Hivi Ndivyo Whatsapp Imevunja Ndoa ya Wawili Hawa

Mwanaume
mmoja Saudi Arabia ametoa talaka kwa mkewe kutokana na kitendo cha
mwanamke huyo kutokujibu message aliyomtumia WhatsApp.

Jamaa huyo ameona kama kitendo hicho ni dharau kubwa na hakuwa tayari kuendelea na ndoa hiyo ambayo imedumu kwa miaka miwili tangu ifungwe.
Hivi Ndivyo Whatsapp Imevunja Ndoa ya Wawili Hawa
Reviewed by CapchaMuzic
on
01:45:00
Rating:
