UKAWA wengi wamekuwa wakilinganisha mambo ya kisiasa ya Burkina Faso na Tanzania.Niwasaidie tu

1.Burkina faso KUNA UKABILA NA UDINI wakati Tanzania hakuna.

2.Rais aliyeondoka madarakani hakuingia kidemokrasia aliua mwenzie tena rafiki yake mkubwa (THOMAS sankara) kwa mapinduzi ya Kijeshi .Tanzania Rais alichaguliwa kwa kura kidemokrasia.

3.Burkina FASO jeshi halina nidhamu na ni moja ya majeshi yasiyo na nidhamu Afrika likishika nafasi ya pili Africa kwa ukosefu wa nidhamu baada ya yale ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo yakifuatiwa na majeshi ya nchi zinazoongea kifaransa Afrika na yale ya nchi za Kaskazini mwa Afrika kule kulikotokea Arab SPRINGS.Tanzania ni jeshi lenye nidhamu ya hali ya juu mno Afrika na highly organized.

4.Majeshi ya BURKINA FASO hayana nguvu za kudhibiti waandamanaji au waasi maruhuni. Tanzania POLISI TU wanatosha hamna haja ya kuita jeshi kushughulikia waandamanaji maruhuni.Uwezo wa polisi na jeshi pia hupimwa kwa uwezo wake wa kudhibiti organized crimes kupitia CIVIL STRIFES zinazoweza fanywa na raia wahuni waliojipanga kuharibu utengamano katika nchi kwa sababu zozote.

5.Raia wengi wa Burkina FASO NI WAHUNI WASIOPENDA kutii sheria.Ni kama wafuasi wa CHADEMA.Tanzania ni tofauti raia wengi ni watii wa sheria bila shuruti.

Kifupi BURKINA FASO na TANZANIA ni nchi tofauti,zenye majina tofauti,watu tofauti na siasa tofauti.Kulinganisha nchi hizi mbili si sahihi.