Dar es salaam ndio jiji lenye maajabu zaidi duniani.kama unabisha soma hapa

Kiufupi maisha ya Dar sio poa ila Dar ndio mji wa maajabu zaidi duniani kwanini nasema hivi ?

Utakuta kijana hana kazi hana chanzo cha mapato chochote ila ana smartphone ya gharama anakula vizuri na analala kama kawa na maisha yanaendelea huku tunasema mwanaume halali njaa ila anachelewa kula hata saa saba usiku tutakula tu kama hujaishi kwetu huwezi kujua.

https://encrypted-tbn0.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcRe6Slk3LSNJ3bAhytX4jNLtB7oRjxHKjjj103VVaQ6vsahbNLZUtamkuta kabinti hakana mbele wala nyuma kanavaa vizuri kanapendeza hakana kazi wala mwanaume wa maana usishangae wana vikundi vyao wanaazimana nguo yaani inaitwa kauka nikuvae leo anavaa huyu kesho yule asubuhi huyu mchana yule hivyo ndio wanavyoishi mimi nikiwa ni shuhuda

Mpaka leo sikijui kituo hasa cha tandika kipo wapi nikipanda gari unaweza kushtuka upo serengeti linageuza watu hawajashuka sijui wamepandia wapi cha msingi wewe sema hapo kona nishushe

Kila mtu ana ndoto za kuwa na gari ila hana malengo ya kupata fedha za kununua magari nikiwasikiliza huwa naishia kucheka nitafanyaje sasa ? Hayo ndio maisha tuliochagua kuishi

Aliyengonoka na mademu wengi huku kwetu ndio mjanja kuliko wote hapo akikaa atakupointia kila apitaye huyu tayari yule nishapita
ndio maana sijawahi kutongoza demu wa mtaa wetu amini usiamini sitaki kuja siku unasikia yule demu ana umeme kichwa kikakuuma na wewe kwenye list yake upo ninao ushahidi

Kali zaidi kila demu yupo chuo hata kama alifeli form foo hapa ndio napolipenda hili jiji wale wanaosema bora wangezaliwa ulaya nawashangaa sana maajabu yote haya bado nipakimbie dar ??
Dar es salaam ndio jiji lenye maajabu zaidi duniani.kama unabisha soma hapa  Dar es salaam ndio jiji lenye maajabu zaidi duniani.kama unabisha soma hapa Reviewed by CapchaMuzic on 23:43:00 Rating: 5
Powered by Blogger.