RUSHWA YA NGONO SIO BONGO MOVIE TU HADI KWENYE SOKA LA BONGO WACHEZAJI WANAOMBWA TIG@ SOMA HAPA
Wadau wa Soka la Bongo, kuna kashfa ya makocha na watu wa ufundi
katika timu zetu kulawiti, na wakati mwingine kuomba rushwa ya ngono
kinyume na maumbile kwa wachezaji wa kiume ili wawape namba kikosini.
Mambo haya si mageni masikioni kwangu, kama mnakumbuka klabu ya Simba
iliwahi kukutwa na kashfa hii miaka ya 2000 kule Morogoro. Kashfa
ikimhusisha wachezaji kadhaa na na aliyekuwa 'memba' wa benchi la ufundi
wakati huo.
Binafsi nimeyasikia tena malalamiko kutoka kwa wachezaji ambao
wameshawahi kupita katika timu hizi za Tanzania Premier League - Ligi
Kuu. Bila kutoa 'ndogo' kwa kocha au kiongozi hupati namba kikosini na
itaendelea kuwa hivyo.
Kuendelea kuyafumbia macho haya mambo hakusaidii soka letu, kama ni
kweli maana yake wanadidimiza Soka na wakati huo huo wanaharibu vijana
wetu kiafya na kimaadili. Nasikia kijana wa kiume ukishaanza ule mchezo
huwezi kuacha, achilia mbali hatari ya kupata magojwa ya zinaa na VVU.
Kwa sababu fulani za kimaadili au kujuana na wahusika waandishi wetu wa
habari hawajawahi kujadili kwa kina kuhusu tuhuma hizi, japo
wanazifahamu kwa undani kabisa. Hapa ni mtandaoni na tunao uhuru wa
kujadili kadiri tuwezavyo, kuwaanika wahusika na kupendekeza suluhisho.
Tujadili kwa uwazi.
chanzo Jamiiforum
RUSHWA YA NGONO SIO BONGO MOVIE TU HADI KWENYE SOKA LA BONGO WACHEZAJI WANAOMBWA TIG@ SOMA HAPA
Reviewed by CapchaMuzic
on
02:24:00
Rating: