MASANJA MKANDAMIZAJI NAYE AVUNJA UKIMYA JUU YA SAKATA LA MISS TANZANIA 2014
MISS
TANZANIAAAAAA!!! ...HIVI LUNGENGA UKOJE?
...NILIKUWA NAKUAMINIA SANA..
...SASA MBONA UNANIANGUSHA BRO!
...HIVI HAYO MANENO WANAYOSEMA HUYASIKIIIII??
...HIVI UNATAKA MUNGU AKUPE NINI LAKINIII?
...HIVI UNATAKA MPAKA UISIKIE SAUTI YA MUNGU NDO USHTUKE...
...AMKA BRO WAKE UPPPPPPPPPP!!
...HUJAWAHI ISIKIA NYIMBO YA GOSPEL INASEMAAAAA.....Eeeeeeee Eeeeeeeeeh
My God is gooodoooo everything is double double!!!! NGOJA
NIKUSAIDIEEEEEEE
ITA WANAHABARI WAMBIE JAMANI HAYA MAMBO HATA MM SIKUYAJUA SO TUKUTANE
TENA MLIMANI CITY TAR 1/11/ KTK REDSS MISS TANZANIA TAKE 2. KIINGILIO
LAKI 2 MKAMATE DAVIDO BAADA YA FIESTA ATUMBUIZE ... KULA MIHELA BRO
HASHIMU...
HALAFU KAMA KAWA SHOST YANGU SITTI ANAJITOKEZA ANAJIUZURU KAMA WAZIRI
MKUU KAZI KWISHA, MNAMKATIA NA SITTI KIPOOZA MANENO KIDOGO MAANA
WANANCHI WAMEONGEA JAMANI EEEEEEEH!!!! UNAKUWA UMEFANYA MWAKA MMOJA MISS
MBILI YAAN MPAKA YA 2015 KUDADADEKIIIIIIIIIIIIIIII....
#MaanaWabongoWanaMaTidelisssssHatariii#
#HalafuUjueMnawezaSemaOoohKazaaKumbeMnaoWateteaWametoaMala3SaSiAfadharYeyeKajizaliaMalaMoja#
#MiNadhaniVigezoVyaMwakaniMissAweBikraHahahahahahUwiiiiiiNaHuoNdioUtakuwaMwishoWaUmissTanzaniaaaaaaaaaa#
#FRMUSAOVER#
MASANJA MKANDAMIZAJI NAYE AVUNJA UKIMYA JUU YA SAKATA LA MISS TANZANIA 2014
Reviewed by CapchaMuzic
on
08:16:00
Rating: