Wema~ Mimi ni Mzuri,Mcheshi na Mtamu pia kila mtu anataka kuwa na wema
Staa asiye kauka kwa Skendo madame Wema Sepetu amelaani vikali baadhi ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii kwa ajili ya kuchafua wenzao na kuwakosesha raha wenzao na simu zao za Huawei na Techno feki
Akiongea na timu nzima ya Jahazialisema kuwa
"kuna vitu vingi vya kufuatilia jamani na mimi kama Wema sina tatizo na mtu hivi unajua Wema ni mtumzuri,mcheshi na mtamu pia kiasi ambacho kila mtu anapenda awe na wema lakini kuna baadhi ya watu wanapenda kunichafua kwa ajili ya manufaa yao kwa hilo hawataweza"alisema wema
Wema~ Mimi ni Mzuri,Mcheshi na Mtamu pia kila mtu anataka kuwa na wema
Reviewed by CapchaMuzic
on
05:51:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
05:51:00
Rating: