Hamisa Mobeto awakilisha kina Diamond
Dj Mashuhuri nchini ns mmoja wa wakurugenzi wa Radio ya E-Fm, Dj Majey,ameshikika kwa mtoto mzuri ambaye ni mwanamitindo Hamisa Mobeto a.k.a Hamisa Kadomo.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Hamisa amemuweka waziMajay na kubainisha kuwa ndiye mwanaume alieuteka moyo wake
Mmoja wa wadau wa Blogu ya Bongolaivu tz amesema kuwa hatua ya Majey kumnasa mtoto Hamisa ni sawa na kwafunga midomo mabingwa wa kufungua zipu ambao wameishia kukamatika kwa Majimama
Hamisa Mobeto awakilisha kina Diamond
Reviewed by CapchaMuzic
on
06:04:00
Rating: