Sikiliza Wema Sepetu Akizungumzia Yote Yanayosemwa ikiwemo Issue ya Kuajiriwa na Kajala.
Kupitia mitandao na magazeti siku chache
zilizopita ilitoka stori ambayo ilidai Kajala anaelekea kumuajiri Wema
Sepetu,leo Wema kapatikana na kakubali kuongelea isue hizo zote ikiwemo
hiyo ya Kajala.
Kupitia You heard ya XXL ya Clouds Fm
Soudy Brown alianza kwa kutaka kufahamu kama kweli Kajala anaweza
kumuajiri yeyeWema,Wema Sepetu akamjibu’Inawezekana,kila kitu
kinawezekana Soudy’
Kuhusu mshahara ambao anataka kulipwa na
Kajala,Wema Sepetu amejibu ’Kwa Kajala mi sihitaji mshahara hata bure
nitafanya kazi kwa Kajala,shughuli yoyote nitafanya Soudy’
Soudy Brown alipomuuliza kuhusu fununu za Meninah kutoka na Diamond,Wema amejibu ’Mimi sijui Soudy bwana na wala sijali’.
Sikiliza Wema Sepetu Akizungumzia Yote Yanayosemwa ikiwemo Issue ya Kuajiriwa na Kajala.
Reviewed by CapchaMuzic
on
00:28:00
Rating: