MSANII WA BONGO MOVIE AUMBUKA BAADA YA PICHA ZAKE ZA UTUPU KUVUJA MITANDAONI.....AMTUPIA LAWAMA NAY WA MITEGO

Msanii wa Bongo Movies, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ aliyewahi kuripotiwa kujiachia kimahaba na mwanamuziki Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’ ametia aibu kubwa baada ya picha zake za utupu kuzagaa mitandaoni.
Kutokana na picha hizo ambazo zimeonekana kuzagaa katika mitandao
mbalimbali na kuacha viulizo kwa wasanii wengi wanaomfahamu, mwandishi
wetu alimtafuta Bozi ambaye alionekana kutafunatafuna maneno na kumtupia
lawama nzito Nay wa Mitego ambaye aliwahi kumtumia picha hizo
walipokuwa wapenzi.
“Mungu wangu sijui nitaweka wapi sura yangu, nilishtuka sana baada ya
kuona picha hizo ni aibu kubwa kwangu, nashindwa hata kuelewa
zimesambaa vipi maana hizi picha alikuwa nazo Nay, nilimtumia kabla
hatujaachana sasa hata yeye namuuliza anasema eti hajazisambaza,”
alisema msanii huyo.

MSANII WA BONGO MOVIE AUMBUKA BAADA YA PICHA ZAKE ZA UTUPU KUVUJA MITANDAONI.....AMTUPIA LAWAMA NAY WA MITEGO
Reviewed by CapchaMuzic
on
08:04:00
Rating:
