Mkasi | SO9E11 with Zitto Kabwe
September 24, mwaka 1976 ni tarehe muhimu kwenye historia ya siasa na
harakati Tanzania! Ni siku alizaliwa Ndugu Zitto Zuberi Kabwe. Kwa sasa
ni Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), nafasi anayoishikilia tangu mwaka 2005.
Mkasi | SO9E11 with Zitto Kabwe
Reviewed by CapchaMuzic
on
14:32:00
Rating: