MARTIN KADINDA ATOA YA MOYONI KWA WALE WOTE WANAOMWAMBIA ANA POZI ZA KIKE...

Na hiki ndicho alichokiandia martin kadinda kupitia mtandao wake wa instagram...via makubwa haya blog LET ME ASK YOU GUYS SWALA MOJA… Instagram maana yake nini?? Mkijua hilo hizo comment zenu za migumo… kufyonza na kuzidhaki watu mmekuwa mnaziweka bank ili sikumoja zije zikusitiri… maana kuna watu wamekuwa madokta… wamekuwa mpaka Mungu…. Mara pozi za kike… ooow sijui huyu vile okey ndo hivyo hivyo unaonavyo wewe so what?? Whaaaaat?? and most of watu wanaocomment ujinga are heart broken… broke…. Un educated and most of all their lonely hivyo machungu yao wanatolea katika picha za watu insta… mbona tukikutana live hamsemagi ujinga wenu zaidi ya kuomba tupige picha na hamuwezi kuzipost due to ujinga mnaoandikaga insta.. Sasa sijui huwa mnazibandika chooni kwenu au chumbani na usiku mnazibusu na kuomba Mungu muote ndoto za maisha ambayo. Wengi wetu mnaotutukana ndo tunaishi… eti am not being a role model… fact that shit… I was raised to live my life and be happy thats all…. being a role model kwangu huwa naamini ni karama Mungu anakujali hivyo usinipange kwakuwa nishapangwa na Mwenyezi Mungu…. And instagram wont be a classroom for me to learn how to live but its just a room of showbizz… mauzo kwa kiswahili kizuri…. If you dont like my post pita mbali na account yangu au msaada mkubwa ambao huwa nautoa kwa wanaondika ujinga ni kuwablock maana kuniunfollow pekee haitoshi utakuta tu umesearch account yangu kuchungulia nimepost nini… chezea kadinda wewe.. I dont have all these followers because of matusi yako.. Or am a good manager or good designer its Just because I keep really to my lifestyle…. Nakemea pepo vuzi kwa jina langu mwenyewe na iwe mwisho kuwaona katika. Account yangu nyie "mainsta-tarumbeta"
MARTIN KADINDA ATOA YA MOYONI KWA WALE WOTE WANAOMWAMBIA ANA POZI ZA KIKE... MARTIN KADINDA ATOA YA MOYONI KWA WALE WOTE WANAOMWAMBIA ANA POZI ZA KIKE... Reviewed by CapchaMuzic on 07:27:00 Rating: 5
Powered by Blogger.