DIAMOND PLATNUMZ NA JUSTINE BIEBER KAMA WALIPANGA HIVI….
Katika kuanza kwa mwaka mpya 2014,ni baadhi tu ya celebz
ambao unaweza sema kweli wamefanikiwa kuanza mwaka huu vizuri
ukizingatia mambo hapo mwanzo,hasa mwishoni mwa mwaka jana hayakuwa
mazuri kivile kwa upande mmoja au mwingine,na hii ni kwa upande wa
malavidavi tu.
latest picture ya diamond na Wema
ukiangalia kati ya celebz walio kuwa na drama nyingi katika
realationship zao,kwa hapa bongo tutakuwa tunamuongelea raisi wa wasafi
mwenyewe mr diamond platnum,ambaye kwa mwaka uliopita mambo yake
hayakuwa yanaenda poa kiviile kutokana na kuandamwa na skendo nyingi
ambazo most of them weren’t true,ilikuwa ni pamoja na kuachana na mpenzi
wake Wema Sepetu.Ila kwa mwanzoni tu mwa mwaka huu inasemekana kuwa
mambo yake yamerudi juu ya mstari baada ya kurudiana na mpenzi wake
huyo,ingawa haijajulikana bado officially but goose bumps are there
between those two love birds,huku wakishindwa kujizuia pale wanaponekana
in public,Wema Sepetu ni actress maarufu wa movie za bongo maarufu kama
bongo movie.
latest picture(Selfie) ya justine bieber akiwa na Selena Gomez
Tusimsahau pia Justine beiber,huyu nae ni msanii maarufu mwenye umri
mdogo huko marekani na yeye inaonekana kauanza mwaka huu vizuri,ni baada
ya kubwagana mara kwa mara na mpenzi wake ambaye pia ni msanii wa
muziki aitwaye Selena Gomez,na mara ya mwisho kutemana kimoja mwaka 2012
huku fans wakiamini kuwa hawawezi kurudiana tena,mapema mwaka huu
wawili hao walionekana wakipozz pamoja katika picha maarufu kama selfie
huku justine aki-admit kuwa bado anampenda mpenzi wake huyo.
DIAMOND PLATNUMZ NA JUSTINE BIEBER KAMA WALIPANGA HIVI….
Reviewed by CapchaMuzic
on
07:18:00
Rating: