KUTANA NA MWANAMKE ALIYEJINGUNDULIA DAWA YA MICHEPUKO

Msichana
aliyetajwa kwa jina la Abbie Bartlett, wa Ibiza Hispania, amewashangaza
wengi baada ya kumvalisha mpenzi wake Leon Connolly fulana maalum yenye
ujumbe unaowaponda wasichana wengine na kumsifia yeye kwa lengo la
kujihami na wezi wa penzi lao.
Abbie
alifanya hivyo baada ya kuona kuwa mpenzi wake anataka kusafiri na
kwamba wangekuwa mbali kwa muda mrefu hivyo alitaka maandishi pekee yawe
ujumbe wa kutosha.Nampenda mpenzi wangu Abbie, nawachukia wasichana wa Ibiza, kwa hiyo tafadhali kaa mbali na mimi.
Yanaeleza maandishi yaliyo kwenye fulana hiyo ikiwa na picha zao.
KUTANA NA MWANAMKE ALIYEJINGUNDULIA DAWA YA MICHEPUKO
Reviewed by CapchaMuzic
on
07:36:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
07:36:00
Rating: