Kisirani Champonza Lulu Michael…Tajiri Wa Madini Ammwaga
Star wa filamu nchini aliyejaaliwa mvuto
wa kipekee, Lulu Elizabeth Michael anadaiwa kutodumu na mwanaume
sababu ya kuendekeza ubabe na kutaka kum-control mwanaume anayekuwa
naye.
Inadaiwa Lulu hataki mchezo, mwanaume
akishakuwa nae basi lazima ahakikishe hafurukuti. Taarifa zinadai kuwa
miezi ya hivi karibuni alikuwa na jamaa mmoja mdogo kimapenzi
akammwaga na baada ya muda akawa anatoka na tajiri mmoja wa madin toka
Arusha lakini tajiri huyo alinyoosha mikono juu baada ya Lulu kama
kawaida kuruhusu majeshi yake yam-control jamaa huyo.
Chanzo kimoja kikizungumza kwa sharti la kutotajwa jina kimesema:
” Lulu ni mtu mwenye kisirani kwa
wanaume, hadumu nao, wengie wanaokuwau nae ni wale wavumilivu sana.
Nadhani ana matatizo ambayo yanahitaji mtaalam wa saikolijia ya
mahusiano, akizinguliwa tu hachelewi kuvunja simu na kurejesha kila kitu
alichokuwa amepewa”
Kisirani Champonza Lulu Michael…Tajiri Wa Madini Ammwaga
Reviewed by CapchaMuzic
on
07:32:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
07:32:00
Rating: