JACK PATRICK KULA BATA URAIANI
Kama ilivyotokea kwa mrembo anayepamba video za wasanii nchini Agness Gerlad 'Masogange' ambaye alituhumiwa kukamatwa na dawa za kulevya nchini Afrika Kusini na kufanikiwa kuruka vihunzi kwa kuepuka kifungo baada ya kukaa mahabusu kwa siku kazaa,mrembo mwingine aliye kamatwa na madawa Macau nchini China na kuhukumiwa kifungo cha miaka mitano nchini jela anauwezekano mkubwa wa kutoka
Taarifa zilizotoka nchini humo zinasema kwamba Jack amepunguziwa adhabu kutokana na kuonyesha tabia njema alivyokuwa gerezani na pia hakusumbua Mahakama wakati wa uwendeshwaji wakesi yake
Rafiki mmoja wa karibu na Staa huyo ambaye hakupenfa jina lake litajwe alisema kuwa alifanikiwa kuzungumza na Jack kwenye gerezaa hilo na kumwambiwa kuwa adhabu yake imefanikiwa kupunguzwa mpaka mwaka mmoja
"amesema kwamba amepunguziwa adhabu mpaka kuwa mwaka mmoja.Amenieleza akitoka tu hana mpango wa kurudi nyumbani kwa sasa nchi amabayo anatarajia kwenda kuweka makazi yake ni Dubai"
Chanzo kilieleza kwamba Jack alisema maisha ya gerezani sio mabaya sana na hajapata unyanyasaji wowote ingawa alilalamika kwamba chakula cha kichina ndio kimekuwa tatizo kubwa kwake
Alisema kuwa askari wa kichina wakomakini sana hawaruhusu vitendo vyovyote vya unyanyasaji baina ya wafungwa
JACK PATRICK KULA BATA URAIANI
Reviewed by CapchaMuzic
on
06:34:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
06:34:00
Rating: