Angalia Jinsi Viagra na Dawa Zingine za Kuongeza Nguvu za Kiume zilivyokuwa Hatari na Kusababisha Umauti wa Ghafla
Jihadhari na Viagra na Madawa Mengine ya Kuongeza Nguvu za Kiume.
Yanaweza Kukuua Ghafla!
Imeandikwa na Nancy Mitikisiko Salamba(Rahatupu Blog)
(Kwa Msaada wa Dr. George M)
Reasoning Hapa ni Vere Simpo!
Ili Uume uweze kusimama, inahitajika damu nyingi isafirishwe kwenda huko...
Na ili kufanya hivi moyo inabidi ufanye kazi ya ziada kusukuma kiasi kikubwa sana cha damu...
Ndiyo maana wakati wa kufanya Ngono utakuta moyo wa mwanaume unapiga sana...
Wengine hata unaweza kuusikia kabisa ukiunguruma...
(Kuna kaka mmoja mpaka nilimwambia apumzike kwani niliingiwa na wasiwasi kuwa angeweza kunizimikia laivu!
Nilimletea maji ya baridi akanywa ndo kidogo akapata nafuu.
Kaka James upo? Unakumbuka siku ile?)
Nilimletea maji ya baridi akanywa ndo kidogo akapata nafuu.
Kaka James upo? Unakumbuka siku ile?)
Imeshathibitishwa Kisayansi...
Kwamba
kukosa nguvu za kiume ni dalili mojawapo kubwa ya kuwa katika hatari ya
kupata matatizo ya moyo. Presha, kisukari (diabetes), unene na kula
vyakula vyenye mafuta sana pamoja na kunywa pombe kupita kiasi vyote
vinachangia. Kwa
hivyo ukiona jogoo limeshindwa kupanda mtungi, pengine ni vizuri uende
kwa daktari ukachunguzwe kama moyo wako ni mzima, upunguze unene (kama
ni mnene), badilisha lishe na punguza pombe. Badala yake mtu
unakata njia ya mkato na kufakamia viagra au kwenda kwa hawa waganga
wetu waliojaza mabango kila kona eti wanatibu nguvu za kiume. Jielimishe
zaidi HAPA.
Bango la tapeli la tiba likiahidi mambo yasiyowezekana...
Bango la tapeli la tiba likiahidi mambo yasiyowezekana...
Kwa Nini Ujitie Katika Hatari?
Sasa
ukifakamia viagra au hizi dawa zingine za kuongeza nguvu za kiume -
dawa ambazo hata ubora wake na chemical composition yake haieleweki
unakuwa unajitia katika hatari. Dawa hizi zinafanya kazi kwa kuifanya
mishipa ya
damu kuanzia kwenye moyo itanuke zaidi na hivyo kuweza kusukuma damu
kwa wingi kuelekea kwenye uboo na sehemu zingine za mwili. Ndiyo maana
watengenezaji wa viagra, cialis na madawa mengine ya kuongeza nguvu
wanasisitiza sana kuwa kabla
hujafakamia mavidonge yao haya, hakikisha kuwa moyo wako hauna matatizo
na kwamba unaweza kuhimili mikiki mikiki ya kutombana. Na ukidindisha
kwa masaa manne mfululizo wanashauri sana ukimbilie hospitali ili
ukasaidiwe!
Visa vya Watu Kufia Guest House Wakiwa na Wanawake
Sasa
huku kwetu mtu hata hajui kama moyo wake ni mzima halafu anaamua
kufakamia ma-viagra haya kisa eti akamkomoe demu. Matokeo yake moyo
unashindwa kuhimili usukumaji wa damu wa
kinguvu huo na unazimika. Vitendo vya watu kufia kwenye majumba ya
kulala wageni wakiwa na wanawake vimezidi sana na mimi nadhani siyo
kutupiwa majini wala nini bali ni hizi dawa za kuongeza nguvu za kiume.
Please, kama ni lazima ufakamie viagra kabla ya
kutomba, nenda kwa daktari kwanza ukachunguzwe moyo wako. Na kama una
magonjwa mengine kama kisukari, presha au bonge la kitambi, pengine ni
bora tu uepuke kutumia madawa haya. Na viagra au cialis huwa haipendi
kuchanganywa na madawa mengine hasa yale yanayolainisha na kutanua mifupa ya damu kama aspirin na mengineyo.
Viagra - vidonge vinavyoongoza duniani kwa kutumiwa na
watu wenye matatizoya kudindisha.
Inasemekana hata Jenerali Sani Abacha - dikteta mtawala wa kijeshi kutoka Nigeria na mmojawapo wa mafisadi wakubwa barani Afrika naye alifakamia viagra moyo ukazidiwa mapigo ukazimika ghafla. Yalimtokea haya akiwa anabonyeza machangudoa wa kihindi waliokuwa wameagizwa spesheli kutoka Dubai!
Jenerali San Abacha - rais wa kijeshi kutoka Naija ambaye inasemekana alizimika ghafla kutokana
na kufakamia viagra ili kuwagonga kisawasawa machangu wa kidosi kutoka Dubai...
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni...
Angalia Jinsi Viagra na Dawa Zingine za Kuongeza Nguvu za Kiume zilivyokuwa Hatari na Kusababisha Umauti wa Ghafla
Reviewed by CapchaMuzic
on
05:58:00
Rating: