Video Teaser: Alikiba, Chidi Benz, Chege kuonekana kwenye video ya Mr Blue ‘Pesa’ (Picha: BTS)
Habari njema ni kuwa Kabayser tayari ameshoot video ya wimbo huo uliokaa kwenye chart kwa kipindi kirefu.
Video ya ‘Pesa’ imeongozwa na Adam Juma wa Visual Lab: Next Level na kwa
mujibu wa picha za Behind The Scenes, baadhi ya mastaa wa muziki kama
Alikiba, Chidi Benz, Chege na aliyekuwa mshiriki wa Big Brother Africa
Julio wanaweza kuonekana kwenye kichupa hicho.
Kupitia Instagram Adam Juma ameshare teaser ya video hiyo na kuandika:
“My job has nothing to with camera’s its ART. I paint what i see”.
Katika moja ya post za picha za BTS Kabayser ameandika:
“Hakuna kitu kizuri km kuishi na watu wote vizuri ..#pesavdeo#”
Kupitia Instagram Adam Juma ameshare teaser ya video hiyo na kuandika:
“My job has nothing to with camera’s its ART. I paint what i see”.
Katika moja ya post za picha za BTS Kabayser ameandika:
“Hakuna kitu kizuri km kuishi na watu wote vizuri ..#pesavdeo#”
Video Teaser: Alikiba, Chidi Benz, Chege kuonekana kwenye video ya Mr Blue ‘Pesa’ (Picha: BTS)
Reviewed by Unknown
on
05:01:00
Rating: