Alichosema T.I.D@Mnyama kuhusu Tatoo yake ya jina la kike kifuani
Stori
ambazo zimezungumzika sana ambazo zinahusu Tatoo zilikua ni kuhusu Nuh
Mziwanda kujichora tatoo yenye jina la mpenzi wake Shilole ambayo
iliandikwa Shishi Baby lakini time hii Soudy Brown kupitia You heard ya
Aug 20 ameamplify taarifa ya T.I.D kujichora tatoo yenye jina la kike,
Tid kapatikana na kuzungumza na Soudy Brown.
Ni kuhusu T.I.D kuandika Tatoo yenye jina la ‘Mahija’ ambapo
alipoulizwa amejibu kwamba Tatoo hiyo ni jina la mama yake mzazi ambapo
alipoulizwa kama ni Tatoo ya mpenzi wake akajibu hiyo mimi siwezi
kuielezea ila ipo siku itajulikana’
Alichosema T.I.D@Mnyama kuhusu Tatoo yake ya jina la kike kifuani
Reviewed by Unknown
on
05:04:00
Rating: