Video: Tazama Shilole na Nuh Mziwanda walipokula ‘denda’ jukwaani kwenye show ya ‘Turn Down For What’
Shilole aka Shishi baby pamoja na baby wake Nuh Mziwanda usiku wa
jana katika ukumbi wa Maisha Club kwenye show ya ‘Turn Down For What,’
walifanya kile walichokifanya Jay Z na Beyonce jana hiyo hiyo kwenye
tuzo za MTV VMA, yaani kuoneshana upendo hadharani kwa njia ya kula
denda (kiss) jukwaani.
Shilole na Nuh Mziwanda ni miongoni mwa mastaa wa bongo flevah waliokinukisha na kuwapagawisha mashabiki waliofurika kwenye ‘Turn Down For What’, iliyoandaliwa na Diva Wild Events huku mtangazaji wa Ala Za Roho ya Clouds FM, Diva The Bawse ndiye alikuwa host wa show hiyo.
Shilole na Nuh Mziwanda ni miongoni mwa mastaa wa bongo flevah waliokinukisha na kuwapagawisha mashabiki waliofurika kwenye ‘Turn Down For What’, iliyoandaliwa na Diva Wild Events huku mtangazaji wa Ala Za Roho ya Clouds FM, Diva The Bawse ndiye alikuwa host wa show hiyo.
Video: Tazama Shilole na Nuh Mziwanda walipokula ‘denda’ jukwaani kwenye show ya ‘Turn Down For What’
Reviewed by Unknown
on
09:45:00
Rating: