ROSE MUHANDO AKIRI KUVUTIWA NA KUMTAMANI GWAJIMA

NYOTA wa nyimbo za Injili nchini, Rose Muhando amesema anatamani sana kuhamia kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Mchungaji Josephat Gwajima kutokana na mahubiri yake mazuri.
Natamani nihamie katika kanisa la Mchungaji Gwajima lakini mimi huwa napenda kumuita Askofu kwa sababu ya upako alionao, naomba ikiwezekana na mimi nihamie hapa
alisema Rose.
Katika siku ambayo kulikuwa na sala ya shukurani kanisani kwa Gwajima Jumapili iliyopita Kawe jijini Dar es Salaam,  mchungaji huyo alimwambia Rose aliyealikwa kuimba, kwamba yupo tayari kumjengea kanisa Dodoma anakoishi na yeye mwenyewe alisimamie.
ROSE MUHANDO AKIRI KUVUTIWA NA KUMTAMANI GWAJIMA ROSE MUHANDO AKIRI KUVUTIWA NA KUMTAMANI GWAJIMA Reviewed by Unknown on 02:10:00 Rating: 5
Powered by Blogger.