Picha: Tajiri wa Saudi atikisa London na Range Rover ya dhahabu yenye plate number ‘666’
‘666’ inatambulika kwenye biblia kama namba ya shetani aka ‘The
Number of the Beast’ au kwa Kigiriki ‘Arithmos tou Thēriou’ lakini kwa
tajiri mmoja wa Saudi Arabia, herufi hizo zinazosomeka kama plate number
ya gari yake ya kifahari aina ya Range Rover.

Hata hivyo gari hiyo pia si ya kawaida kiasi cha wakazi wa London, Uingereza kuishangaa baada ya kuiona ikiwa na mtalii huyo akila mitaa ya London kwakuwa ni gari ya dhahabu!!

Gari hiyo ina thamani ya £150,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 400 za Tanzania. Range Rover mpya na ya kawaida huuzwa kwa bei ya wala u £100,000.
Hata hivyo gari hiyo pia si ya kawaida kiasi cha wakazi wa London, Uingereza kuishangaa baada ya kuiona ikiwa na mtalii huyo akila mitaa ya London kwakuwa ni gari ya dhahabu!!
Gari hiyo ina thamani ya £150,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 400 za Tanzania. Range Rover mpya na ya kawaida huuzwa kwa bei ya wala u £100,000.
Picha: Tajiri wa Saudi atikisa London na Range Rover ya dhahabu yenye plate number ‘666’
Reviewed by Unknown
on
09:07:00
Rating: