Picha: Kim Kardashian amtega Usher kwenye tuzo za MTV VMA, ashindwa kuficha

Kivazi cha Kim Kardashian kinachoonesha mwili wake katika tuzo za MTV VMA 2014 zilizofanyika usiku wa kuamkia leo kilimtega mwanamuzi Usher Raymond ambaye alishindwa kufanya siri.
Usher alishindwa kuficha ama kuangalia kwa kuibia baada ya Kim K kumpita kwenye red carpet na akaamua kugeuka tena bila kujali paparazzi waliokuwa mbele yake.
.
Picha: Kim Kardashian amtega Usher kwenye tuzo za MTV VMA, ashindwa kuficha Picha: Kim Kardashian amtega Usher kwenye tuzo za MTV VMA, ashindwa kuficha Reviewed by Unknown on 04:41:00 Rating: 5
Powered by Blogger.