Picha: Diamond na Wema ni kama Kanye West na Kim Kardashian lakini…
Kim Kardishian ana vitu vingi vinavyomuinspire Wema Sepetu. Hali hiyo
imewafanya watu wengi kudai kuwa Mrs Naseeb amekuwa akijifananisha na
Mrs West, jambo ambalo aliwahi kulikanusha.

I’m sure everyone in life happens to have a role model,” Wema aliandika kwenye picha ya Kim Kardashian aliyoiweka kwenye mtandao wa Instagram.
“This one ryt here is myn… maana naona watu sijui huwa wagumu kuelewa. Remind me when nimeshawahi kujifananisha na Kim K!! Kim Kardashian is my role model… my idol… da woman I look up to… nat my twin…. see da difference… there is no way nawezafanana naye… she is way up there, but she will forever be my number one, hate it or love it. Aisee wabongo, dah…. but all in all still gat mad love for yall.”
Hata hivyo Wema na Kim wana vitu vingi wanavyofanana. Wote ni wapenzi/wake wa wanamuziki maarufu katika nchi zao.

Kuwa na wapenzi maarufu na wao wenyewe wakiwa watu maarufu pia, kumezifanya couple hizi kuwa miongoni mwa zile zinazoongewa sana.

Kwa Kanye na Kim, iko wazi jinsi wanandoa hao wa zaidi ya miezi mitatu wanavyotengeneza headlines hata kwa picha zao wakiwa shopping tu.

Hali ni hiyo hiyo ni sawa hata kwa Diamond na Wema. Wawili hao wanaposhuka sehemu na kutembea pamoja, kwa muda mchache unaweza kuhisi kuna jambo la hatari limetokea jinsi watu watakavyosukumana kuwaona tu na kuwapiga picha.

Kingine ni kuwa Kim ni shabiki namba moja wa mume wake Kanye West na kwenye show nyingi za baba huyo wa mwanae North, amekuwa akihakikisha anakwenda kumshuhudia live.

Hivyo ndivyo ilivyo kwa Wema pia ambaye ni wazi kuwa yeye ndiye shabiki namba moja wa nyimbo za Diamond. Mara nyingi Wema amekuwa akimsupport mchumba wake kwa kupanda naye jukwaani na hivyo kusababisha shangwe kubwa.

LAKINI… ushabiki wa Kim kwa mume wake Kanye West awapo jukwaani, ni tofauti kidogo na ushabiki wa Wema kwa Diamond. Ama kuiweka kwa lugha inayoeleweka maana ya sentesi iliyopita ni kuwa, ushabiki wa Wema kwa Diamond kidogo umepitiliza na hata kama umekuwa ukishangiliwa, tunahisi anajishusha kiaina.

Hatujawahi kumuona Kim amependa jukwaani na kugeuka dancer wa Kanye na kuanzia kukata mauno. Kuna ile hadhi ya mke lazima ilindwe hasa kama mke ama mpenzi wako si msanii kama wewe. Wema ni muigizaji si dancer ama mwanamuziki na kwa muigizaji wa filamu mwenye mashabiki wengi, kupanda jukwaani na kukata viuno design kama ni kushusha brand ama nini? Si mbaya kama angekuwa akipanda na kutoa salamu fupi kisha kushuka na kuwa mtazamaji kama watu wengine.
Tupe mtazamo wako..

Reviewed by Unknown
on
07:49:00
Rating: