KWA HILI WEMA SEPETU UNAISHUSHA HADHI YAKO YA KUWA MKE WA DIAMOND PLATNUMZ
Mara nyingi Wema amekuwa akimsupport mchumba wake kwa kupanda naye jukwaani na hivyo kusababisha shangwe kubwa.
ushabiki wa Wema kwa Diamond kidogo umepitiliza na hata kama umekuwa ukishangiliwa, tunahisi anajishusha kiaina.
Kuna ile hadhi ya mke lazima ilindwe
hasa kama mke ama mpenzi wako si msanii kama wewe. Wema ni muigizaji si
dancer ama mwanamuziki na kwa muigizaji wa filamu mwenye mashabiki
wengi, kupanda jukwaani na kukata viuno design kama ni kushusha brand
ama nini? Si mbaya kama angekuwa akipanda na kutoa salamu fupi kisha
kushuka na kuwa mtazamaji kama watu wengine.
Tupe Mtazamo wako
KWA HILI WEMA SEPETU UNAISHUSHA HADHI YAKO YA KUWA MKE WA DIAMOND PLATNUMZ
Reviewed by Unknown
on
02:04:00
Rating:
Reviewed by Unknown
on
02:04:00
Rating:
