Picha: Bill Gates na familia yake wapo likizo kwenye boti (yacht) waliyokodi kwa tshs bilioni 8 kwa wiki!!

Ni tajiri namba moja duniani mwenye utajiri unaofikia dola bilioni 79.2 hivyo kutumia shilingi bilioni nane kwa wiki si kitu kinachoweza kumpunguzia chochote Bill Gates.
article-2719109-2057AB6700000578-788_634x422
Katika boti hiyo helikopta zinamchukua Gates kumpeleke nchi kavu kucheza golf na kumrudisha
Na ndio maana Bill Gates yupo mapumzikoni ambayo tunategemea kwa mtu tajiri zaidi duniani ayafanye.
article-2719109-2057BE7A00000578-683_634x422
Tajiri huyo amekodi meli binafsi maarufu yacht ambayo analipa dola milioni 5 (zaidi ya shilingi bilioni 8) kwa wiki.
article-2719109-20578E4800000578-901_634x366
The Serene
Gates yupo kwenye boti hiyo kubwa na mke wake Melinda na watoto wake Rory, Jennifer na Phoebe nchini Italia.
Mwanzilishi huyo wa Microsoft ameamua kupumzika kwa kukodi yacht hiyo iitwayo The Serene yenye ukubwa wa futi 436 inayomilikiwa Yuri Scheffler.
article-2719109-20578E4400000578-635_634x423
Muonekano wa sehemu moja wapo ya ndani
article-2719109-2053BB8300000578-962_634x497
article-2719109-2053BBC000000578-614_634x539
article-2719109-2053BC0200000578-210_634x514

Picha: Bill Gates na familia yake wapo likizo kwenye boti (yacht) waliyokodi kwa tshs bilioni 8 kwa wiki!! Picha: Bill Gates na familia yake wapo likizo kwenye boti (yacht) waliyokodi kwa tshs bilioni 8 kwa wiki!! Reviewed by Unknown on 01:58:00 Rating: 5
Powered by Blogger.