Picha: Beyonce akava toleo la CR Fashion Book, angalia picha
Beyonce amepata nafasi ya kukava chapisho la kitabu cha mitindo, CR Fashion Book, toleo la September, 2014.
Toleo hilo litatolewa rasmi September 4 ambayo itakuwa siku ya kuzaliwa ya mwimbaji huyo. Picha zimepigwa na mpiga mpicha mashuhuri Pierre Debusschere.
Toleo hilo litatolewa rasmi September 4 ambayo itakuwa siku ya kuzaliwa ya mwimbaji huyo. Picha zimepigwa na mpiga mpicha mashuhuri Pierre Debusschere.
Picha: Beyonce akava toleo la CR Fashion Book, angalia picha
Reviewed by CapchaMuzic
on
06:57:00
Rating: