NAY WA MITEGO NDIYE MWIBA WA NDOA YA WEMA NA DIAMOND!SOMA
Wema Sepetu akiwa na mpenzi wake 'Diamond Platinum'.
IMEVUJA kwamba Staa wa Bongo Fleva,
Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ndiye aliyemshauri Nasibu Abdul
‘Diamond’ asioe kwa sasa ili asishukekimuziki.
Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’Ushauri
huo umekuwa mwiba kwa mpenzi wa Diamond, Wema Sepetu ambaye amekuwa na
ndoto ya kuolewa na staa huyo anayekimbiza kitaani na wimbo wake wa
Mdogomdogo. Akifafanua
zaidi kuhusiana na ushauri huo, Nay alisema: “Kuna mifano mingi sana
nimeiona kutoka kwa wasanii ambao wameoa, wengi wao wameshasanda sasa
mdogo wangu (Diamond) na yeye alipoleta hoja ya kutaka kuoa nikaona sasa
anatafuta shimo la kwenda kujifukia, nikamshauri aache.”
NAY WA MITEGO NDIYE MWIBA WA NDOA YA WEMA NA DIAMOND!SOMA
Reviewed by Unknown
on
01:52:00
Rating:
Reviewed by Unknown
on
01:52:00
Rating:

