Namna utaperi wa kutumia majina ya watu unavyotumika,msikilize Godzila feki akimtaperi mtu.
Mara chache zinapotoka stori za mtu kutaperiwa na mtu akidhani labda
ni star fulani alikua akiwasiliana nae kiasi hadi cha kumuamini na
kumtumia pesa lakini anapotuma pesa anashangaa kuona mtu huyo
anavyobadilika.
Watu wa namna hii wanapopata wanachokitaka huwa wanazima simu au
hawapokei kabisa,sasa kwenye meza ya Soudy Brown kuna msanii mchanga
kataperiwa na Godzilla ‘feki’ kwa kumtaka amtumie kiasi fulani cha pesa
kisha wafanye colabo.
Namna utaperi wa kutumia majina ya watu unavyotumika,msikilize Godzila feki akimtaperi mtu.
Reviewed by CapchaMuzic
on
10:31:00
Rating: