Huu ndo usajili uliofanyika mda huu,Alex song arejea London......
Dirisha la usajili barani ulaya linafungwa leo saa 6 usiku ifuatayo ni orodha ya wachezaji walio kamilisha usajiliwa hivi karibuni kabla ya usajili kufungwa
Beki wa liverpool Daniel Agger Mdenmark amejiunga na klabu ya brondby ya nchini kwao nchini denmark
ada haijatajwa
Wagonga nyundo wa London West ham "The Hammas" wamejiimarisha kwa kumchukua kiungo wa zamani wa Arsenal ambaye kwa sasa anachezea Barcelona ya Hispania kwa Mkopo wa Miaka miwili
Westbrom United nao wamemsajili kiungo wa timu ya taifa ya Argentina Sebastian Blanco umri wa miaka 26 kwa mkataba wa miaka miwili
Machester United wamekamilisha uhamisho wakumsajili Daley Blind kutoka Ajax kwa dau la Paund Mil13.8
Fernando Torres naye amekamilisha uamisho wake wa kujiunga na Ac Millan akitokea chelsea
Loicy Remmy najiandaa kutua Chelsea muda wowote baada ya QPR kukubali ofa yao
Huu ndo usajili uliofanyika mda huu,Alex song arejea London......
Reviewed by CapchaMuzic
on
08:31:00
Rating: