Hivi ni Fame, Money or Love zinazowapeleka Wadada kwa Diamond ?

Ni kawaida ya dada zetu hapa Tz,siyo wote ila ni baadhi yao kujigonga kwa mtu yeyote pale apatapo umaarufu,haijalishi alikuwa handsome au mtu wa kawaida,ni pale tu anapoanza kupata jina ndio unaona idadi ya watu wanaongezeka si tu wadada yani hadi idadi ya marafiki huongezeka pale mtu apatapo umaarufu,ila kwa Diamond Platnumz  wamembatiza hadi jina na kumuita sukari ya warembo,Jina hili limetokana na jinsi wadada zetu wanavyompenda msanii huyu tena ile zaidi ya kimuziki.
wema-jokate-dating-diamond-www-vibe-co-tz-website
Aliyempa jina la sukari ya warembo hakukosea kabisa cause hivi sasa Diamond Platnumz si yule wa zamani wa mbagala tena ambaye kila mtu alikuwa anamdharau,pale kabla hata hajatoka kulinganisha na hivi sasa.
Diamond-Wema-Penny-Slider-Copyright-www-vibe-co-tz
ni mfululizo wa wadada walioteyari kuuza roho zao kupata attention kutoka kwa mwanamuziki huyu,ila swali la kujiuliza ni mapenzi ya kweli au ni umaarufu tu alionao ndio kinachotengeneza sukari hiyo,unaweza kusema labda ni zile Benjamins(money) alizonazo ndio zinaongeza utamu wa sukari hiyo..well,nobody seem to know the  answer…ila mbali ya hayo yote mwisho wa siku ni kukubali tu the guy anaweza.
Diamond-Platnumz-62
Kati ya mwanamuziki anayeongoza kuwa na ladies skendo basi huyu raisi wa wasafi hawezi kusahaulika hata kwabahati mbaya,cause for the past year tumeweza kusikia that amedate na wadada kama watatu hivi,mbali na rumors zile za hapa na pale ambazo hazina uthibitisho kwamba ni kweli au si za kweli,he has been on and off to these ladies.
Diamond-Platnumz-Meninah-vibe-co-tz
Ni Raisi wa wasafi,Diamond Platnumz aliyeweza kujipatia umaarufu mkubwa kutokana na kipaji chake cha kutoa hit tracks nzuri zilizoteka nyoyo za mashabiki wa kila rika na kila nchi hapa africa na nje ya africa, kokote kule wasikiapo track kali za mwanamuziki huyu,ni umaarufu uliotokana na juhudi alizonazo pamoja na kipaji chake mwenyewe ndicho kilichopelekea kupata umaarufu huu ndani ya muda mfupi tu.
Diamond-Heart-Breaker-Copyright-WWW-vibe-co-tz
Je, unadhani ni nini wadada wanavutiwa na kujipeleka kwa Diamond ?
Fame
Money
Love
None
View Result
Hivi ni Fame, Money or Love zinazowapeleka Wadada kwa Diamond ? Hivi ni Fame, Money or Love zinazowapeleka Wadada kwa Diamond ? Reviewed by CapchaMuzic on 00:21:00 Rating: 5
Powered by Blogger.