DAKTARI ABAMBWA NA MAITI DUKANI
Marehemu Jibuli Mahende, aliyepoteza maisha chini
ya mikono ya daktari feki.
UKANJANJA! Jeshi
la Polisi wilayani Ikungi, Singida linamshikilia daktari anayedaiwa
kuwa ni feki, Prosper Samson (pichani) kwa madai ya kumtibu mgonjwa
Jibuli Mahende, mkazi Kijiji cha Iyumbu, Sepuka na kumsababishia kifo
chake, Uwazi linakupa mkasa huo kwa kina.
Bw.Prosper Samson anayedaiwa kuwa ni daktari feki, akiwa nyumbani kwake.
Habari zinadai kuwa, Jibuli
alifariki dunia hivi karibuni baada ya kutibiwa na mtu huyo anayejiita
daktari kutokana na kile kilichodaiwa kuwa alizidishiwa dozi kwa
kuongezewa chupa tisa za maji ya drip sanjari na vidonge sita ambavyo
havikujulikana jina mara moja
DAKTARI ABAMBWA NA MAITI DUKANI
Reviewed by Unknown
on
09:48:00
Rating: