UNAVAA KIKUKU MGUUNI? UNAJUA MAANA YAKE? SOMA HAPA!!
Vikuku
ni tamaduni za kiafrica. ni urembo wa kupendezesha kiungo kama kuvaa
cheni shingoni, helen sikioni, pete kidoleni, bangili mkononi, kipini
puani shanga kiunoni na kikuku mguuni, mbona tukivaa shingoni hawasemi??
kwani mguu ni sehem ya siri hadi kusema ni vibaya, mimi nafikiri ni
fikra za watu tena fikra potofu, mimi napenda sana na ninavaa, siku
nikivaa gold heleni na cheni basi napiga kikuku cha gold siku nikivaa
silver heleni na cheni napiga kikuku cha silver siku niamua kuvaa
culture, basi hata kikuku kinakuwa culture yote hiyo ni kupendezesha
mwili wangu kama mwanamke.
tukiangalia ktk kabila la wamasai, hadi wanaume nao wanavaa tena ni wote, sasa je nao wale wote wanatumia tigo????? acheni fikra potofu watanzania, lile ni pambo msilitafsiri kiviile.
Lakini mtaani wanasema ni biashara ukivalia kulia straight ila hautoi tigo , kushoto tigo posibility and miguu yote anything goes
tukiangalia ktk kabila la wamasai, hadi wanaume nao wanavaa tena ni wote, sasa je nao wale wote wanatumia tigo????? acheni fikra potofu watanzania, lile ni pambo msilitafsiri kiviile.
Lakini mtaani wanasema ni biashara ukivalia kulia straight ila hautoi tigo , kushoto tigo posibility and miguu yote anything goes
UNAVAA KIKUKU MGUUNI? UNAJUA MAANA YAKE? SOMA HAPA!!
Reviewed by Unknown
on
01:19:00
Rating:
Reviewed by Unknown
on
01:19:00
Rating: